Translate
Translate
Sunday, 28 July 2013
WATANZANIA HATUJITAMBUI
kutokujitambua kwa watanzania kumesababishwa na kile kinacho daiwa ni ukosefu wa elimu ya kutosha,asilimia kubwa ya watanzania hawana elimu ya kutosha hivyo huwafanya kutokujuwa mambo yanayoendelea katika nchi yao,siku hizi mambo mengi yapo kitaalamu zaidi tofauti na zamani jambo hili limejionyesha wazi katika nchi ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania amenyimwa elimu hivyo hupelekwa pelekwa bila kujuwa wapi wanaelekea.
Subscribe to:
Posts (Atom)