UTARATIBU WA
WANANCHI KUENDESHA PETS
MASUALA YA
KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA PETS
· Unda kamati au kikundi cha PETS
inayojumuisha uwakilishi wa makundi yote wakiwemo wanawake na vijana.
· Ainisha/bainisha sekta husika kwa
ajili ya ufatiliaji
· Bainisha namna ya kufuatilia na
kupata taarifa za kutosha kuhusu hali halisi ya sehemu husika kabla ua
ufatiliaji
· Zingatia jinsi/namna ya kufanya
ufuatiliaji
· Tambua wapi pa kwenda kwa ajili ya
kupata taarifa husika
· Nini / kitu gani cha kuuliza
· Nini kifanyike kuhamasisha umma
· Jinsi ya kutoa mrejesho na kusambaza
taarifa
· Hatua za kuchukua (ushawishi na
utetezi)
· Kitu gani au nini kimebadilika?
· Vyanzo mbalimbali vya taarifa
(TAKUKURU, TAMISEMI nk)