1)unda kamati au kikundi cha PETS inayojumuisha makundi yote yakikiwemo wanawake na vijana
2)ainisha/bainisha secta husika kwa ajili ya ufatiliaji
3)bainisha namna ya kufatilia na kupata taarifa za kutosha kuhusu hali halisi ya sehemu husika kabla ya ufatiliaji
4)zingatia jinsi/namna ya kufanya ufatiliaji.
5)tambua wapi pa kwenda kwa ajili ya kupata taarifa husika
6)Nini au kitu gani cha kuuliza
7)nani wa kumuuliza
8)nini kifanyike kuhamasisha umma
9)jinsi ya kutoa mrejesho na kusambaza taarifa
10)hatua za kuchukua (ushawishi na utetezi)
11)kitu gani au nini kimebadilika?
12)vyanzo mbalimbali vya taarifa(TAKUKURU,TAMISEMI NK)
LAZIMA TUZINGATIE VITU MUHIMU KATIKA KUFANYA PETS KWANI INATURAHISISHIA KATIKA UFATILIAJI BILA KUVUNJA SHERIA ZA NCHI.
ombi langu vijana wezangu na watanzania kwa ujumla tujifunze mambo yaha yatatusaidia kwa faida yetu kama kuna tatizo ujaelewa piga au tuma sms la swali lako utajibiwa 0712064800
0