Translate
Translate
Wednesday, 12 June 2013
JE?UNAJUWA PETS NINI?
PETS ni neno la kiingereza linalomaanisha (public expenditure tracking system) kwa lugha ya kiswahili ni mfumo wa ufuatiliaji wa matumizi wa rasilimali umma.
mfumo huu unamisingi mitatu muhimu
a)mapato na matumizi
b)taarifa
c)thamani ya fedha
misingi hii ni muhimu sana katika ufuatiliaji.
n.b)kilamwananchi anawajibu wa kulinda rasilimali za nchi yake pia kila mwananchi ni haki yake kufuatilia mapato na matumizi katika mtaa wake au kijiji chake.
PETS huundwa katika mkutano mkuu wa kijiji au mtaa kwa ajili ya kufuatilia miradi inayoletwa na serikali kuu ambayo imepewa kipao mbele na wananchi.
PETS ni kamati yenye watu kuanzia 6 hadi 15 ambao kwa pamoja wanaweza fuatilia mradi watakao upa kipao mbele kuufatilia,mfumo huu ni muhimu sana katika kitaa yetu huleta uwajibikaji kwa viongozi na kupatikana kwa usawa kwa kila mwananchi hivyo sehemu nyingi mfumo huu ulitumika ulizaa matunda kuweka baadhi ya vitu ambavyo serikali ya kijiji hicho uligundulika kuna ubadhirifu.
Lakini mfumo huu unachangamoto zake kubwa zaidi ni ushirikiano mdogo wa viongozi katika kutoa taarifa zipo changamoto nyingi sana ambazo wanakamati ya PETS wanaweza kutana nazo.
lakini pamoja na changamoto zote PETS inatambulika kisheria hivyo ukifuatilia hata akiwa nani awezi kukushtaki lazidi akutishie tu pia kumbuka kufuata sheria ukiwa kama mwanakamati.mwanakamati haruusiwi kumshika mtu wala kumpiga mtu wala kumshtaki mtu jukumu hilo ni la wanakijiji katika mkutano wa kijiji chini ya kiongozi amtakae muita aje kusikiliza ubadhirifu uliofanyika
maswali zaidi tunaweza wasiliana kwa namba 0712064800

Wednesday, 5 June 2013
hello people
natumahi mko salama
kwa kuwa mitandao ya kijamii ipo napenda kuwajulisha sasa mnaweza pata habari mbalimbali za kijamii kupitia josemali
asante

Subscribe to:
Posts (Atom)