JOSE MALI
Translate
Translate
Wednesday, 12 June 2013
jinsi watu wa mtaa wa karoleni mkoani kilimanjaro moshi walivyochachamaa baada ya kupata elimu ya PETS hii ndo hali halisi ya nchi yetu wananchi tumenyimwa ufahamu hivyo tunaongozwa jinsi watakavyo wao sio tutakavyo sisi jaman tuamke sasa ebu fikiri south Afrika ilikubali mateso leo hii watanzania tunatamani kwenda kwenye nchi hiyo vipi kuhusu hapa kwetu tusiwaze kwenda kwa wenzetu na kati hapa ndo nyumbani nchi yetu ni tajiri lakini tunapakimbia watu wanaumizwa sana na hari hii mimi nikiwa mmoja wapo sasa tuache siasa za kijinga tuangalie nini tufanye kuboresha nchi yetu tusiwaogope viongozi kwani na wao wapo chini ya sheria ambazo tumekubaliana
ningefurahi zaidi kama mambo haya tutayafanyia kazi
pimal1990@
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment