Nashukuru sana ndugu SALIMU KHAMISI kuuliza swali nzuri ila nitalijibu kwa faida ya watanzania wote.kamati hizi za PETS(ufatiliaji) zinzundwa na wananchi wanyewe iwe katika ngazi ya kijiji au mtaa,muhimu zaidi ni kuhakikisha kamati hii inaundwa na wahusika wa sehemu hiyo (wakazi),kila baada ya miezi mitatu serikali ya kijiji au mtaa mwenyekiti anawajibu wa kuitisha mkutano kuu ni lazima na mwana nchi hana haki ya kumuoji kiongozi wake kama mkutano ujafanyika,sasa katika mkutano huu hapo ndipo kamati hizo utengenezwa kwa kuchaguliwa na wananchi wenyewe kamati inatakiwa iwe na watu 7 hadi 15,muhimu kuachaguwa watu wenye sifa na kuhusisha jinsia yaani kila kundi lazima lishiriki,wanawake,wanaume,walemavu,vijana,na hata wazee.sifa muhimu asiwe nahitikadi za uchama(asitumie siasa katika kufanya kazi hii ya PETS)kushiriki kwa viongozi inategemeana na jinsi wananchi watakavyo hamua namaanisha kuwa kama kiongozi anaonekana ni msaada kwa jamii yake na wananchi wana mkubali anaweza akaingia kwenye kamati hizo.
kwa ufupi sana nimejibu ila ndugu watanzania tunaitaji elimu hii kwa ukalibu zaidi.
piga tena namba yangu upate maelekezo kama utakwama 0712064800 uliza maswali kwa faidi yetu sote
No comments:
Post a Comment