Ni wazi kabisa tunatambua hili ni tatizo kubwa ingawa linachukuliwa
kawaida sana,katika haki za binadamu lazima tuzingatie na mazingira yake
anayoishi.
Mradi wa barabara umeletwa katika jamii ni jambo zuri sana lakini
inakuwa mbaya sana kama barabara hizo zinatengenezwa bila kukamilika kabisa hii
ni kuchezea fedha za umma
No comments:
Post a Comment