Ni katika hari ya kutisha sana ambayo mwandishi amethibitisha hatari iyo ambayo inapelekea magonjwa ya mripuko kama kipindupindu hata magonjwa ambayo yataendana na mazingira machafu pasipo kutuzwa . Hari hii imejionesha katika baadhi ya shule za wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam jambo ambalo ni hatari sana kwa afya za watoto ambao wapo shuleni .

serikali na wananchi
inabidi kushirikiana ili kuweza kuhakikisha mazingira salama na yenye kuleta afya bora sehemu zote zinazohitaji huangalizi ili kuhepusha baraa la magonjwa ya mripuko mashuleni
ASANTE
No comments:
Post a Comment